Thursday, December 12, 2013

Exclusive: Leo Mtangazaji muungwana wa Radio NURU FM 93.5 Iringa Tz Nelly calocy Msamila aka Ze Nelly Be ametimiza mwaka mmoja wa kufanya kazi NURU FM

Mtangazaji wa Radio nuru fm iliyopo mkoani Iringa ambayo masafa yake ni 93.5 fm, Ametimiza mwaka mmoja tokea nalipo anza kufanya kazi Nuru fm ni mdau mkubwa wa muziki wa nyanda za juu kusini ususani mkoa wa iringa, amekua akiwasaidia wasanii kwa kuendesha shoo ambazo zinakua zinahusisha muziki wa mkoa wa iringa na maeneo ya jirani pia hushilikiana na wadau wengine katika kusapoti muziki wa iringa, moja kati ya show ambazo hufanya ni KUTOKA HOME hii show huluka kila siku za jumapili, licha ya kua ni mtangazaji wa Nuru fm uyu jamaa hushilikiana na waandishi wa mtandao huu wa www.vunja.blogspot.com kwa kulipoti habari za kiburudani ambazo zinatokea mkoani iringa.....
KUNABAADHI YA WATU AMBAO ANASHILIKIANA NAO KATIKA KAZI PALE NURU FM, AMEWAPA SHUKRANI ZA KUTOSHA KUITIA UKURASA WAKE WA FACEBOOK, SOMA HAPO CHINI ALICHOKIANDIKA


Nije Niaje Watu Wangu wa Damu Leo Natimiza Mwaka Moja Kufanya Kazi NURU FM 93.5 na Mshukuru Mungu Pia Namshuru sana tena sana Bosi wangu VICTOR CHAKUDIKA na STAFF Wote wa NURU FM Kwa Kunipa Ushirikiano .....Nitaanza na VICTOR CHAKUDIKA, FASAIL DJ MAN SIMPLE, BEN MUSHIRI, GERARD MALEKELA, FARAHAN HUSEIN, SHADRACK MWANSASU, GRACE MICHAEL , TERESIA ALEX, YUSTA MSOWOYA, VICTOR MEENA, FRIDA MAGANGA, ZAKAT ABUBAKARI, MONICA KINYAMI, JUMANNE JUMA, FAAD ZE UTAMU, TYSON BENJAMIN TAI C, ABAS ALLY MLYUKA, PAULINA KUYE, ASHURA GODWIN, DENICY MKAKALA, KIJICHO, PATEL,.........Na washuru Wadau wangu wote Ambao wapo Nyuma Yangu Kwa Kunisapoti Kwa Kila Kitu Kama Brothers wangu DAMIAN DAMPURATION, RENATUS BIZZO KILUVIA "KIJA" SAGIN MAJURA, MICHAEL LUKINDO, DJ SIMBA, KING DAVIE JONATHAN, DJ DUPPA, DJ PHILLY, KAYANDA MC,......Na Wasikilizaji wangu Wote Wanaonisikiliza na Kuzielewa Freva Zangu ......MUNGU AWABARIKI WOTE Nilio wataja Hapo Juu na Ambao Sija wataja ...AMEN

No comments: