Wednesday, September 7, 2016

Music Video: Beyonce - Hold Up (Official Music Video)

Baada ya kuachia ‘Visual album’ yake ya Lemonade mapema mwaka huu, Beyonce ameanza kuachia video za nyimbo zilizopo kwenye album hiyo.
Beyonce ameachia video ya ‘Hold Up’  kutoka kwenye album hiyo ya Lemonade.

No comments: