AJALI YA MV SKAGIT:WAZIRI ZANZIBAR AJIUZULU
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu mjini Zanzibar, Hamad Masoud
amejiuzulu wadhifa wake baada ya kuwepo kwa shinikizo la kuachia ngazi
lilitoka kwa wananchi.
Hatua hii imekuja kufuatia madai ya wananchi kuwa ajali za meli zimekuwa zikiongezeka mjini Zanzibar bila yeye kuchukua hatua.
No comments:
Post a Comment