nafasi za kazi brac arusha na mwanza ni

1) Accauntacy nafasi 4, arusha.

-degree/diploma ya accauntacy

2)Afisa mikopo nafasi 24, nafasi 15 arusha, nafasi 9 mwanza

sifa za amwombaji
- awe na elimu ya form four na kuendelea
- awe na lugha nzuri kwa watu
mwenye ujuzi na computer atapewa kipaumbele
maombi yote yatumwe kwa email
jaclinemassawe@yahoo.com
maombi yatumwe kabla ya tarehe 2/8/2012