truck hiyo ambayo inaitwa himaya ya mkwawa ilipelekea mpaka msanii huto kupigwa na mtangazaji wa kituo cha radio kilichopo mkoani iringa baada ya hapo ndipo wasanii wengi na watangazaji ambao wanapenda muziki wa iringa kuwa na mafanikio kwa wasanii kwa namna moja au nyingine kupata hamasa ya kukemea kitendo hicho cha unyonyaji wa wasanii kwa kupigishwa show kwenye matamasha wanayo yaandaa hivyo moja kati ya watangazaji ambao wameamua kuupa promo muziki wa iringa anaitwa SELENGA KADUMA ambaye ni mtangazaji wa kituo cha radio country fm 88.5 iringa

ameamua kufungua group page kwenye mtandao wa facebook .....jina la hilo group ni Doll South Staminer Movement ambapo pataku ni sehemu ya kupeana ideas tofauti nini kifanyike ili kuwapa promo ya nguvu upcoming artist wa iringa na mawazo yako yatafanyiwa kazi na wadau husika katika game hii...............posted by deejay jona
No comments:
Post a Comment