MARLAW ASHIDWA KABISA KUMPA MIMBA BESTA
Namkariri akisema “swala la
mimi kumpatia mimba mke wangu au uzao wa familia yangu ni swala langu
binafsi, sidhani kama ni swala la Baabkubwa, mi sijapenda alafu na
dizaini walivyoelezea yani ile interview mimi ninavyozungumza yale sio
maneno yangu”
Kwenye line nyingine
amesisitiza kwamba “kama walinipigia simu basi ningependa kama
wangeandika kile hasa ambacho hasa mimi nimekisema, nakumbuka
walishawahi kunipigia simu lakini tukazungumza lakini mazungumzo hayakua
vile jinsi ilivyokuja kuandikwa, yamebadilishwa”
“sitochukua hatua yoyote nataka
tu wanipigie simu waniambie samahani, mtu ataenipigia simu anipigie tu
tumalize tuongee tu yaishe, kama wangependa kuandika kwenye gazeti
lijalo waandike kile nilikiongea”
Baada ya hayo nilipochek na Baabkubwa walikua kwenye kikao lakini wakasema time ikifika msemaji atazungumza.
No comments:
Post a Comment