mtayalishaji na mtangazaji wa kipindi cha the splush wa capital radio fa plus aka amaizing atangaza kuacha kazi
anaitwa fadhili haule aka fa plus the amaizing ni mtangazaji wa kituo cha capital radio inayomilikiwa na kampuni ya ipp media yenye maskani yake dar es salaam tanzania mapema hii leo tarehe 7 september 2012 kwamba tayali amekwisha acha kazi ya kutangaza kwenye kituo cha radio capital fm kilichopo jijini dar es salaam sababu alizotoa alipokua akifanya intervew na deejay jona alisema amechoshwa na kufanya vipindi vya asubuhi wakati uwezo wake ni kufanya show za mchana pia aliongezea kwa kusema yupo tayali kwenda kufanya kazi radio yeyote kama maslahi
No comments:
Post a Comment