Friday, September 28, 2012

RICK ROSS KUTUA KWENYE SERENGETI FIESTA 2012......posted by deejay jona

ukizungumzia Team nzima ya Maybac music double MMG basi Rick Ross lazima awepo katika Team hiyo ambayo imehusisha vinjwa vitano kama Stalley,Omarion,Meek milli,pamoja na Rozay Boss.Najua kwa sasa unakuwa na hamu ya kuweza kumfahamu yule ambaye atawasha moto katika stage ya serengeti fiesta mwaka huu.Nakumbuka mwaka jana mtu mzima Ludacris alinukisha mbaya katika ile stage ya Leader club sasa habari nzuri ni kwamba Rozay Boss au Rick Ross in da Fiesta serengeti 06/10/2012..............posted by deejay jona

No comments: