
- Kide Meshack F#ck Eb*ny Fm.......
I hate hii station coz kuna mijitu km (E) inakera kisenge, inazuga inapromot kumbe inanyonya upcomin artst, mother f# - Kayanda Mc wamepewa nyundo kuitumia wanashindwa bora uniibie pesa lakini sio idea...........itafahamika!
- Robert Kisinini wajinga ndo waliwao, wanabanapua wanachowaza ni kuuza sura tu, hivyo hawatakuelewa hata kidogo, wasanii tanzania wataendelea kunyanyasika mbaka mwisho coz ni wao wanaopendwa kuibiwa, harakati za kuwakomboa wasanii hazijaanza leo zimeanza zamani, ila tatizo ndo hili la wauza sura, wao wanachojua ni kuvaa miwani mkubwaaa na vitight na mnyororo kiunoni, I HATE WAUZA SURA WOTE COZ NDO WANAOWASAPPORT WEZI
- Man Kichefu dj-jaggo lee niambie n nan ametoka kupitia hayo matamasha? Niambia wale upcomin wanalipwa sh ngap kila j2 wanavo perform pale? Congei kwa chuki bt iv bn thru the xm ndo mana nkaona hawana msaada wowote wanachofanya n kutangaza biashara yao. Kwanin wacngeanzsha hzo mambo muda mrefu kama kweli wanataka kuwasaidia wasanii? N baada ya hlo tamasha wasanii wote wanaachwa kama makinda ya njiwa
1 comment:
True dat...
Post a Comment