Kipenzi
cha wengi marehemu Steven Kanumba ataendelea kukumbukwa na fans wake
kutokana na kazi zake zinazoendelea kuingia sokoni.
NDOA YANGU ndio jina la filamu mpya ya Kanumba aliyoigiza na star wa kike Jackline wolper.
Kampuni
ya Steps Entertainment ambayo inajihusisha na usambazaji wa filamu za
bongo ndio itakayosambaza filamu hiyo ya kwanza mpya kutoka kwa Kanumba
toka afariki dunia mwezi April mwkaa huu.
Kama wewe ni shabiki wa Kanumba anza kuitafuta sokoni kuanzia tarehe 28 September 2012 ndio itaingia sokoni. posted by deejay jona
No comments:
Post a Comment