Sunday, September 9, 2012

USHILIKIANO WA DEEJAY NASS CHATI ZA MUZIKI WA IRINGA ZINAZOTAYALISHWA NA COUNTRY FM 88.5 CHINI YA DEEJAY JONA

anaitwa nickson sanga aka deejay nass ni prisenter pia ni dj katika kituo cha radio COUNTRY FM  kilushacho matangazo kwa lugha ya kiswahili kwenye masafa ya 88.5 matangazo yake kinalushia mkoani iringa nyanda za juu kusini na kusikika pande tofauti za mikoa ya kusini mshkaji ni mtayalishaji wa chati za muziki unaofanywa mkoani iringa pia ni mdau mkubwa katika kuunyanyua mziki wa iringa richa ya kuwa ni mdau jamaa vilevile ni artist wa muziki kafanya nyimbo kadhaa ikiwemo chap chap ambayo inatamba kwa sasa   katika hii blog nimeona ni vyema kutoa surpote ya muziki wa iringa kwa kuweka chati ambayo itakua inasimama na truck kumi ambazo zinakua sinachezwa na radio country fm chini ya usimamizi wa deejay nass vilevile unaweza kuzisikia online kwenye hii blog chini ya usimamizi wa deejay jona yote ni kuunyanyua miziki wa iringa pia kunawadau ambao wanatoa sapoti kwenye huu muziki bila kuwasahau japo ni wengi akiwemo deejay muba@ebony fm, eddwin bashil,renatus bizzo kiluvia,fredlick bundara@times fm na temmy mahondo@country fm hii chati utaanza  kuipata kuanzia jumapili ya tar 16 NOVEMBER 2012   picha ya chini ni deejay jona
 

No comments: