- NAFASI YA KUMI MPAKA NAFASI YA KWANZA
- Nafasi ya 10.....PEACE E ANANIPENDA {ingizo jipya}
- Nafasi ya 9.....ATU WAZAMANI {ingizo jipya}
- Nafasi ya 8.....MAN KICHEFU HIMAYA YA MKWAWA
- Nafasi ya 7.....OB WARAKA
- Nafasi ya 6......COLLINS NILIKUPENDA
- Nafasi ya 5.......MGC KAULI
- Nafasi ya 4.......MED C ZOLELA
- Nafasi ya 3........J ONE NI WEWE
- Nafasi ya 2.......DJ NAS CHAPCHAP
BONUS TRUCK
BETA MAN truck inaitwa SITO KATA TAMAA
- Nafasi ya 1........MECKON MAUZAUZA

mtayalishaji na mtangazaji wa show iitwayo ngoma za mchana top ten za nyanda za juu kusini iringa kwenye kituo
cha radio cha country fm 88.5 iringa town ........anaitwa NICKSON SANGA aka DJ NAS pia jamaa anaimba na anatamba kwa sasa na truck inaitwa chap chap video mpaka audio ni nooooooooooomaaaaaaa
....................posted by deejay jona
No comments:
Post a Comment