Friday, October 5, 2012

MAPEMA LEO NILIPO INGIA KWENYE FACEBOOK YA MAN KICHEFU NIKAKUTANA NA HII STATUS....posted by deejay jona

 
                                                                      Man Kichefu
                                                                  
 
Wanawake kwa ujumla, hapa namaanisha akina dada,akina mama na waxchana wote.... Hii tabia inanikera! Ni hivi.. Saiz 
 npo kwenye folen hospital hapa agha khan kuna kina mama kama wawili wako kwenye hii foleni wapo vifua wazi,matiti yote nje wananyonyesha! Akat kabla ya kujfungua mkigonga macho au ukamgusa kifuani japo kwa bahati mbaya lazma upate vdonge vyako. Leo imekuaje? Kwanin mnajishusha thaman mama zangu n suala la ustaarabu tu! Kwa kweli nimekereka xna!!..................posted by deejay jona

No comments: