Kuendelea kubaki kwenye mawazo na akili za watu 50 Cent amefanya mengi kama kuwa na Beef ,Kasimamia Mabondia, Biashara ya vinywaji na Head phones. Kwa sasa Rapper 50 Cent yupo tayari kurudi tena kwenye game kwa nguvu zote kupitia album yake mpya ya Street King Immortal
. Video
Mpya ya My Life imeshatoka kama moja ya kazi kwenye album hio. Fahamu
kuwa ni miaka 10 toka imetoka album yake ya kwanza `Get Rich Or Die
Tryin'.
No comments:
Post a Comment