
Watu wengi wamekuwa hawamskii
mtangazaji mahiri wa kipindi cha Kiss Kollabo mix show Ezden The rocker Moja
kati ya watangazaji Maarufu sana hapa Tanzania kutokana na uchapaji kazi wake. deejay jona Alipiga stori na ezden kuhusu hili Kuptia
simu yake ambayo inaanza na +255
JONA : Kaka Niaje
EZDEN :Poa JONA Wats good?
JONA: Poa sana ,ebana nina maswali
kadhaa toka kitaa , Tangu October 2012 Hatujaweza kukuskia tena kupiti
Kipindi chako cha KISS COLLABO MIXSHOW pale Kiss fm wats wrong BRO
EZDEN : Dah , Kweli , Tangu October
nimekua Nje ya Kiss fm kwa maana ya ,Nimeacha kazi pale.
JONA : Sababu kubwa ya Kuondoka kiss
fm ilikua ni nini hasa?
EZDEN : It sucks to say, but ishu kubwa ni Financial Issues ..Jamaa
walikua wanachelewesha sana mkwanja MIEZI 3 BILA SALARY...!!! Mbaya
mzee…na hiyo ni source kubwa ya Presenter wengi wazuri kusepa Kiss
fm.
JONA : So Kwa Upande wako Malipo
yako hayakufanyika kwa muda gani?
EZDEN : Ilikua ni Muda, hata sijui huu mwaka unaoisha nimefanya nini cha
maana zaidi ya kujulikana, na hata nimetoka still wanazungusha mkwanja
wangu tangu October mpaka leo 12-12-12. Sio ishu nzuri kwa kampuni kubwa
kama SAHARA.
JONA : OK.Kwa hio mpaka sasa upo
chini ya Radio au media yoyote ile?
EZDEN : Soon nitakua na radio fulani ya hapa Dar, U'll be informed
though I'm still pushin' my movements with a Kenyan internet radio Votu
Radio ( www.voturadio.com ) and still more to come this 2013.
JONA : Shukrani sana Bro na Mungu
akuongoze katika kuendeleza Harakati za Muziki ..na haswa muziki wa HIP HOP.
EZDEN : Peace DEEJAY JONA Pamoja sana
Meet Him on his facebook page www.faceebook.com/ezden........by deejay jona
No comments:
Post a Comment