Msanii wa Bongo Fleva hapaTzee almaarufu kama mwanadada Lady J Dee,baada ya band yake kuendelea kufanya vizuri zaidi na zaidi,sasa latest info ambayo tumepata hii leo ni kwamba yupo katika mikakati ya kumrudisha mwimbaji wake wa zamani anayefahamika kwa jina la Mwinyigoha.Baada ya kumaliza kutiririka aliweza kuandika ujumbe mfupi kwa wewe shabiki wake.
No comments:
Post a Comment