Picha ya msibani kwa Sajuki sasa hivi hapa Kisutu Dar, Profesa Jay na Mwana Fa ni miongoni mwa niliowaona.

Mwili wa Sajuki ukisubiriwa, Profesa Jay akionekana kwa mbali miongoni mwa wanaousubiri mwili.

Mwili wa Marehemu Sajuki ndio unawasili sasa hivi.

Sehemu ya waliohudhuria msiba wa Sajuki hapa Kisutu sasa hivi,

Mwili wa Sajuki ndio umeshazikwa tayari. R.I.P

picha hizi zimepigwa na deejay jona
No comments:
Post a Comment