Wednesday, February 27, 2013

Mikanda ya ngono ya Kim Kardashian ambayo haijaeditiwa yanusurika kuteketea kwa moto.

 
Mikanda ya ngono ya mama mtoto mtarajiwa wa Kanye West, Kim
Kardashian, inayojulikana sana kwa jinsi ilivyotangazwa kwa jina la ‘Kim K
Superstar’ imenusurika kuteketea kwa moto huko Los Angeles baada ya moto mkubwa
kuzuka katika makao makuu ya kampuni inayozalisha mikanda hiyo ‘ Vivid
Entertainment’.

Ripoti zilizotelewa na TMZ zinasema master version na
mikanda mingine ya watu maarufu ilinusurika pia na ilikuwa imetunzwa kwenye
ofisi ya kiongozi wa Kampuni hiyo Steve Hirsch, Wakati moto huo unawaka
kiongozi huyo alikuwa mbali. Hirsch alipigiwa simu ya dharura na kukimbia
haraka eneo la tukio.

Kwa bahati nzuri aliwahi kufika na kufungua ofisi yake na
kuokoa tapes zote japokuwa baadhi zilikuwa zimeharibika kidogo.

Mwaka jana Kanye West alirap kwenye wimbo mmoja mashairi
yanayoonesha amesapoti filam ya ngono ya Kim Kardashian inayoitwa ‘Kim K
Superstar’. Kanye alighani “Eat breakfast at Gucci. My girl a superstar all from
a home movie.”

Kim anatarajia kujifungua mtoto wa kike mwezi July, je mtoto
huyo akikuwa akajua mama yake alikuwa anatengeneza filamu za ngono na baba
alikuwa anasapoti itakuwaje? Kibongobongo ni zaidi ya hatari.

No comments: