Saturday, March 9, 2013

Nash mc atoa ya moyoni kuhusu kilinge cha tamaduni


Yule maalim mwenye. Vvu ama baba tabia ambae ana vionjo vya vya mizimu ya shaban robert amepita hivi katika kuzungumzia kilinge cha tamaduni muziki Nam nukuu 'EEH! MWENYEZI MUNGU TUNAKUSHUKURU KWA KUSIKIA
KILIO CHETU,CHA WATU KUJAMSASANI KWENYE KILINGE NA
KWELI DUA ZETU UMEZISIKIA,WATUWANAJITOKEZA KWA WINGI NA
TUNAOMBA WAZIDI KADRI YA SIKUZINAVYOKWENDA!!LEO ILIKUA NI
FURAHA SANA NIMEONA WATU WAKIJENGA UDUGU NA KUJUANA
KUPITIA KILINGE NA HATA WENGINE KUPATA AJIRA BAADA YA KUKUTANA
NA MARAFIKI ZAO WALIOKUA WAPOVEMA KIMAISHA!! TUNAKUOMBA
MUNGU UTULINDE NA MAADUI NA UTULINDE SISI NA KILINGE CHETU!
AMEEEEEN!!' VIVA ARTS INAWATAKIA MAFANIKIO MENGI

No comments: