Friday, September 12, 2014

Rapper na prisenter wa Nuru fm nelly be kufanyiwa interview ndani ya bomba fm Mbeya leo

 
 picha hapo juu ni Chriss bee mtangazaji wa Bomba fm atakaye mfanyia interview rapper Nelly be kuhusiana na truck yake mpya aliyowakusanya wasanii chipukizi mkoani iringa ambayo kwa sasa ndo nyimbo inayofanya vizuri nyanda za juu kusini na baadhi ya radio hapa Tanzania

                                        picha juu ni Rapper Nelly Bee

No comments: