Friday, September 12, 2014

Steve RnB kurudi upya na kudondosha Bonge la Riddm mpya wiki ijayo

 Baada ya tour ndefu za nje ya nchi, Msanii Steve RnB anatarajia kudondosha Bonge la Riddm mpya wiki ijayo September 18th, 2014. Mwaka jana alidondosha Riddim ya kufa mtu ” Jambo Jambo” sasa mwaka huu anakuja na kitu kinaitwa “Pole Pole” ambayo imetengenezwa na producer matata C9 Kanjenje.. 

No comments: