Saturday, February 21, 2015

Amber Rose ameandika kitabu,kinahusu na jina ? viko hapa.

Aliyekuwa mke wa rapa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ ametangaza ujio wa kitabu chake kuhusu makosa aliyofanya kwenye maisha yake mpaka kupelekea yeye kuwa kama alivyo.
amber-rose-2015-01-
Kitabu kitaitwa “How To Be a Bad B*tch” na kinategemewa kutoka November 2015. Kitabu kitachapishwa na kampuni ya Simon & Schuster.


Kuna uvumi kuwa Kim Kardashian amemuomba dada yake ‘Khloe’ amalize beef yao na Amber sababu Amber ana siri nyingi za Kanye West.

No comments: