Sunday, February 22, 2015

Baada ya ubora wa muziki wake kuwekwa kikaangoni Kanye West afunguka kuhusu album mpya

Kwenye interview na kipindi cha ‘BreakFast Club’ kwenye kituo cha Power 105.1 Kanye West amesema “Album yake mpya imekamilika kwa asilimia 80 tu mpaka sasa, na anajaribu kuimalizia na kuwapa watu” .
kanye
Kuna uwezekana ikatoka kwa mtindo wa kushtukiza kama ilivyotoka album ya Drake na Beyonce.

No comments: