Thursday, February 19, 2015

Diamond Platnumz na Nay Wa Mitego studio tena,ni collabo nyingine

Wasanii waliofanya #VituAmazing na wimbo wao wa Muziki Gani wamekutana tena studio kwaajili ya rekodi nyinine. Ni Diamond na Nay wa Mitego. Diamond kwa sasa anang’ara na rekodi ya Ntampata wapi ambayo inapewa muda mkubwa wa hewani kwenye vitui vya kimataifa ka Trace Tv huku Nay akifanya vizuri na rekodi na video ya Akadumba

nay 1

No comments: