Wednesday, February 25, 2015

Nuh Mziwanda apost picha wakiwa watupu na Shilole

  Kupitia Account yake ya Instagram Nuh Mziwanda amepost picha hiyo akiwa na mpenzi wake Shilole "Shishi Baby" wakiwa bafuni huku Shilole akionekana amekenua "Kufurahi".

Picha hii imeleta mtazamo tofauti kwa baadhi ya mashabiki wao huku wengine wakifurahia na wengine kuonesha kukerwa na kitendo hicho.

No comments: