Rapa Joh Makini kutoka Tanzania ameonekana kwenye mazingira ya studio Huko South Afrika akiwa na rapa mkubwa wa nchi hio maarufu kama KO. KO nimsanii wa kundi la Teargas na imeonekana kuwa na uwezekano wa collabo kati yao.

Joh Makini ameniambia “Ni mapema kusema chochote kuhusu kazi hii”

Joh alikutana na mtangazaji wa MTV Base ‘Nomuzi Mabena’
No comments:
Post a Comment