
Weekend hii wameonekana pamoja kwenye mchezo wa kikapu wa NBA All Star wakiwa pamoja na mapenzi yakiwa hewani, Japokuwa mpaka sasa hawajadhibitisha kuwa ni wapenzi ila kama maneno huwezi kusoma , basi tazama picha. Picha moja wakiwa kwenye NBA All Star na nyingine kwenye location tofauti weekend iliyopita.
No comments:
Post a Comment