Wasanii wa kundi la ‘Psquare’ wametembelea ofisi za Jay Z za ‘Rock Nation/Tidal’ huko NewYork, Marekani.
Mmoja wa wasanii wa kundi hilo, Peter Okoye amesema mazungumzo waliyofanya na watendaji wa label hiyo yamekua ya mafanikio.
Miezi michache iliyopita, binamu wa Jay Z, High bee alifanya ziara nchini Nigeria kwa ajili ya kutanua wigo wa soko lao.
Credit:teamtz.com
No comments:
Post a Comment