J cole ameonekana mapema leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’
J cole akiwa na mmoja wa mashabiki wake mapema leoMwezi wa saba Msanii mwingine wa Marekani, John Legend na mpenzi wake Chriss Teigen walikuja Tanzania, zanzibar kimya kimya.
Credit.TeamTz.com
No comments:
Post a Comment