Monday, October 12, 2015

Nahreel na Aika wazungumzia mpango wa kuoana

Wapenzi wanaounda kundi la Navykenzo , Nahreal pamoja na Aika wameweka wazi mpango wao wa kufunga pingu za maisha mbeleni. Akizungumza na Djjonamusic Ijumaa hii katika fainali za BSS, wawili hao
 
walisema wana mpango huo japo hawajapanga ni lini. “Yeah ndoa ipo, ipo kabisa, hatuwezi kusema sasa hivi lakini itafika tu muda mzuri wa kufunga ndoa,” alisema Nahreel. Navy Kenzo walikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye show fainali hizo.

No comments: