WCB, Diamond kesho tarehe 20/09/2016 saa nne kamili usiku atasikika Live kupitia Redio Kings Fm iloyopo njombe kipindi
kiitwacho Fire Beatz Show inayopendwa zaidi nyanda za juu kusini mwa Tanzania ambayo pia waweza kuisikiliza hapa hapa kwa kubonyeza jina hapo juu kabisa jina lililoandikwa Kings fm.


No comments:
Post a Comment