Leo
katika segment ya Incampus ya Power Jams kupitia East Africa Radio na
mtangazaji Michael Lukindo, Side Mnyamwezi ambae anataraji
kujiunga na masomo ya chuo kikuu 2013, pamoja na Deo wa kipindi cha
Nirvana
EATV ambae ni mwanafunzi wa chuo cha Tumaini tawi la Mikocheni
wamefunguka.
Leo saa 3pm East Africa Radio.
No comments:
Post a Comment