Mwandishi wa habari wa kujitegemea mkoani iringa ndugu francis godwin mapema siku ya leo amekwenda kujisalimisha kituo cha police kilichopo soko kuu iringa mjini kwa sababu ya kupewa vitisho kwamba anawindwa na police pamoja na mwenzie njama zikiwa ni zilezile zilizopelekea kuuwawa mwandish wa habari..... Imeandikwa na deejay jona
No comments:
Post a Comment