Monday, October 29, 2012

NYIMBO MPYA : Diamond - Nataka Kulewa kiwango kinashuka chini


I'm listening to diamond_natakakulewa.mp3 in Hulkshare:

                                         MAONI KUTOKA FB NA TEEN TZ KUHUSU HIYO TRUCK

Selenga KadumaSelenga Kaduma Mia mia Mkale. Hanaga kitu huyo.

Bass tuu, kama Akina Mr Nice, Msim ukipita Utaona.

Ashraf LainiAshraf Laini Hiyo ngoma ni kali ngoja atolee kichupa lbd beat maneck kasample kutoka kwa pasha
Kasike Mengi Kasike Kasike Mengi Kasike nataka nikuulize kidogo, hv ww unadili na nn? 
 Udj, uchambuz au uproduza so tuambie tujue....


Comment by laurent francis mmassy ON TEEN TZ
this track has resemblance to his hit track 'moyo wangu' on rhythm and tempo, despite the fact that my taste for bongo flavor 60% goes on a bit being patriotic but this guy is on the 40% side ..HE IS GOOD DONT SAY OTHERWISE he's just got that psychological touch to what really people want to do rather than they want to hear from a singer...good track..bravo!


 
Comment by filbert nyoni  ON TEEN TZ
hamna ki2 hapoooooooooooooo

No comments: