Anaitwa Nickson Sanga ila wengi wetu tunamjua au kumfaham kwa jina la vipaji alivyo navyo ikiwa ni kuimba na ku dj vile vile uyu jamaa ni boooonge moja la densa alafu akisimama kwenye booth utapenda anaitwa DJ NAS yupo katika kituo cha radio ebony fm mkoani Iringa anafanya kazi pale, Amefanya idea nzuri sana na kwa upande wa huu mtandao wa vunja blog tunampa heko ya ku creat kitu ambacho naamini hakuna msanii nyanda za juu kusini na iringa yooote ambaye angepata wazo la kufanya kitu kama hichi truck iko poa, ametengeneza bantu record productio iliyopo mkoani iringa , truck ameipa jina la AMA NINI ndani amezungumzia vitu vingi ambavyo vilishawahi kutokea mkoani iringa, mwishoni akawazungumzia watangazaji ambao ni wabana pua...........
No comments:
Post a Comment