Friday, December 20, 2013

ORODHA YA WASANII WANAOJALI NA KUONA UMUHIMU WA MEDIA KWAO NA KATIKA KAZI WANAZOFANYA ZA KIBURUDANI, MATAMASHA NA MENGINEYO.

  1. RAMA DEE
  2. MRISHO MPOTO
  3. SAJNA
  4. LADY JAYDEE
  5. NEY WA MITEGO
  6. DAYNA NYANGE
  7. NIKKI WA PILI
  8. JOH MAKINI
  9. ROMA
  10. BAIBY MADAHA
  11. LINEX
  12. MED C-TOKEA IRINGA
  13. DOGO SCOPE-TOKEA IRINGA
  14. MAN KICHEFU-TOKEA IRINGA
  15. J C B
  16. PROF JAY
  17. DJ NASS-TOKEA IRINGA
  18. JAY POP-TOKEA IRINGA
  19. ROHO SABA-TOKEA IRINGA
  20. CHAGGA BOUY-TOKEA TABATA DAR
Vunja blog tumepoint wale wasanii ambao ukiwapigia cm kwaajili ya kufanya nao interview kamwe huwezi kumsikia akisema yupo bize umtafute next time, pia hawa jamaa hutoa ushilikiano mzuri na watu wa media kwa chechote kile kinachowahusu wao then hawa jamaa wapo jirani sana na mashabiki zao kwa upande wa mitandao ya kijamii.

No comments: