Thursday, January 2, 2014

Audio; GEEZ MABOVU ft MAU Truck inaitwa Am alive


ARTIST:GEEZ MABOVU FT. MAU
SONG:AM ALIVE
STUDIO:BANTU MUSIC(IRINGA)
PRODUCED BY GERALD&NELLY

Huu wimbo ni spacial kwa wote walio amini kuwa Geez Mabovu atakata pumzi baada ya kuanguka zaid ya mara tano na kulazwa katika hospitali ya mkoa IRINGA.Hivyo kutokana na kauli za watu wachache zilizo onesha kua zina kashfa ndani yake hii ni moja ya 'Shut up yo mouth'' Bantu music iliyopo mkoani hapo imehusika sana na kusimamia mdundo mkali wa ngoma hiyo!!

No comments: