List ya wasanii tokea Dar watakaokamua kwenye Mtikisiko Mbeya siku ya kesho
Show inayoandaliwa na kituo cha Redio mkoani Iringa Ebony fm na hapo chini ni list ya wasanii watakaokinukisha kwenye steji ya Mbeya. Barnaba At Izzo B Khadija Kopa Stamina Stive r&b Bizman
No comments:
Post a Comment