Thursday, November 13, 2014

Baada Ya Kusema,Nashikiliwa Mateka,Sielewani Na Nicki Minaj,Simpendi Drake,Hili Jipya Kutoka Kwa Tyga.

Rapper wa Young Money 'Tyga' ametangaza tarehe ya kutoka kwa album yake mpya 'The Gold Album: 18th Dynasty' kuwa ni December 23 2014 siku mbili kabla ya sikuku ya X Mass. Album hii inafuata album yake ya mwaka 2013 'Hotel California. 

Tyga amezungumziwa sana hivi karibuni baada ya kutangaza kuwa lebel yake ya Young Money inamshikilia mateka na kwamba hawataki video yake itoke. Tyga pia alisema haelewani na Nicki Minaj na kwamba hampendi Drake. 


Kwenye Interview aliyofanyiwa Boss wa Cash Money, Birdman alisema "Tyga bado yupo chini ya Young Money na yeye kama Boss hapendi wasanii wake wanavyotupiana maneno"

No comments: