Chris Brown Achora Mashairi Ya Wimbo Wa Tupac “Lord Knows” Kwenye Gari Yake'Lamborghini'
Mchora tattoo anayefahamika kama Michael “Huero” amemsaidia Chris Brown kuchora mashairi ya wimbo anaoupenda wa 2 Pac wa 'Lord Knows' kwenye gari yake aina ya Lamborghini. Hizi picha nilizopata wakati inachorwa, mpaka kukamilika.
No comments:
Post a Comment