Thursday, November 13, 2014

Hemedy Phd, Kuhusu Msanii Asiyepanga Kufanya Collabo Na Wasanii Wa Nyumbani.

Kijana mwenye vipaji vingi Hemedy Ohd ameweka wazi mawazo yake juu ya msanii  anayesema hategemei kufanya collabo na msanii wa Tanzania. 


Kupitia twitter yake Hemedy ameandika >>>>" MTU ANASEMA HATEGEMEI KUFANYA TENA COLLABO NA MSANII WA BONGO IKIWA NGOMA ZAKE ZOTE KABEBWA NA COLLABO!what a looseR!!thnk before you speak" 
Hii imetokea baada ya Sheta kusema kuwa kwa sasa wazo lake la collabo lipo nje zaidi na anawasanii watano anaowaangalia kwaajili ya collabo hio. 

No comments: