Tuesday, November 25, 2014

Hii Kuhusu Collabo Ya Rapper Kutoka Ghana Na Fid q.

Ni mara chache sana unasikia Fid Q anafanya collabo na msanii yeyote kutoka nje ya Tanzania.

Kwenye inteview na Efm Nov 20 1014, Diamond Platnum amesema amefanikiwa kumunganisha rapper kutoka Ghana Sarkodie na Fid q kutoka Tanzania baada ya kusikia Fid q angependa kufanya nae kazi. Diamond anasema alimtumia message Sarkodie ikiwa na clip ya show ya Fid q na jamaa alishanga shangwe la Fid q kutoka kwa mashabiki.


Mpaka sasa Sarkodie ameshatumiwa wimbo ambao atafanya na Fid q ili asikilize na kufanya sehemu yake

No comments: