Tuesday, November 18, 2014

J Cole Athubutu Kutumia Mfumo Wa Beyonce Wa Kutoa Album Na Atashindana Mauzo Na Huyu Rapper.

Rapper J Cole ametangaza ujio wa album yake mpya na kwamba itatoka kwa mfumo uliotumika kutoa album ya Beyonce.

J. Cole ametangaza kuwa album itaitwa 2014 Forest Hills Drive na inatoka December 9 siku moja na album ya Lil Wayne 'The Carter V' kitu kinachoonyesha ushindani mkubwa. Cd itakuwa na nyimbo 13 na hapata kuwa na utoaji wa single ili kutangaza album.

No comments: