Sunday, November 2, 2014

Lady Jaydee aonjesha mashairi ya wimbo mpya aliomshirikisha mdogo wake ‘Dabo’

Huenda Lady Jaydee amepata tena mzuka wa kuandika nyimbo baada ya hivi karibuni kusema hana hisia zozote za kufanya hivyo.
10727507_344525119050945_645629815_n
Lady Jaydee akiwa na mdogo wake Dabo (katikati) na binamu yake, Wakazi ambaye pia ni meneja wake kwa sasa
Staa huyo ameonjesha baadhi ya mashairi ya wimbo wake mpya aliomshirikisha mdogo wake, Dabo ambaye ni msanii wa reggae. “Haya mapenzi kweli I just can’t explain eeeeh, Utanielewa vipi iiih Moyo wangu wote uko kwako when ur not around Ur not here with me Ooooh baby i can’t breathe Unapotoka tu, usipokuwepo tu moyo wangu #Forever #JideFeatDabo#Comingsoon,”ameandika Jide.

No comments: