Wednesday, November 26, 2014

Miss Tanzania Happy Watimanywa akiwa London na Mamiss wenzake kwenye hizi picha 9.

Happiness Watimanywa ndie anaetuwakilisha kwenye mashindano ya dunia (Miss World 2014) yanayofanyika London Uingereza alikokwenda zaidi ya wiki moja iliyopita.
Miss TZ 12
Mtu wa nguvu Happy anahitaji nguvu yako ili aweze kushinda sababu hakuna ujanja mwingine ni lazima kura zipigwe pia hivyo kama uko tayari kumpigia naomba fata maelekezo haya hapa chini.
Step 1: download miss world app. Step 2: chagua washiriki wengine watatu (remember, you need to select 3 contestants only then you can vote) Step 3: Hit the Vote button. The winner of the People’s Choice Award wil join the final 6 on stage on Final Night. For more information, follow the link
below
Hatua 1: Download programu ya Miss World. Hatua 2: Chagua washiriki wengine wawili. Kumbuka unatakiwa kuchagua washiriki watatu tu ili uweze kupiga kura. Hatua 3: Bofya kitufe cha kupiga kura. Mshindi wa Tuzo za watu atajiunga na washindani 6 katika jukwaa usiku wa fainali. Kwa taarifa zaidi fuata anwani hapo chini.
You do not need to pay. You only need to download and vote. Make sure you download using either itunes or googleplay using your smartphones.

No comments: