Picha, Video Ya Diamond 'Ntampata Wapi' Imefikisha Watazamaji Zaidi Ya Laki Moja na ishirini elfu Youtube Ndani Ya Saa 24.
Video ya Diamond iliyosimamiwa na muongozaji kutika Africa Kusini Godfather sasa imetimiza zaidi ya watazamaji laki moja ndani ya saa 24 tu za kuwa mtandaoni.
No comments:
Post a Comment