Thursday, November 13, 2014

Picha za mazishi ya msanii Geez Mabovu Iringa Leo Novemba 14 katika makaburi ya mlolo zizi la ng'ombe Iringa

Mazishi ya msanii Geez Mabovu ambaye alikuwa maarufu kwenye muziki wa Hiphop Tanzania, yamefanyika leo nyumbani kwao Iringa katika makaburi ya Mlolo zizi la ng'ombe ama waweza kupaita shule ya msingi njiapanda shule ambayo amesoma Djjona.
Marafiki
IMG_3073
Mabovu amefariki dunia kwenye hospitali alikokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita kutokea Dar es salaam akisumbuliwa na maradhi ya kifua.
Ndugu, jamaa marafiki, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kushiriki katika mazishi hayo.

Msafara wa Mazishi
image-13-11-14-06-32-3
image-13-11-14-06-32
Kaburi

No comments: