Saturday, November 1, 2014

She kissed a girl and she liked it: Wema na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki? (Picha)

Ni kawaida kwa wasichana wanapokutana na marafiki zao kubusiana shavuni na kukumbatiana kwa furaha.
huuu
Wema Sepetu akimbusu Aunt Ezekiel kwenye siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni
Lakini pale wanapoamua kugusishana lips zao na kubusiana kama mtu na mpenzi wake wanavyofanya, hapo tunaweza tukahisi tofauti. Seriously, urafiki wa Wema Sepetu na Aunt Ezekiel unatufanya tuulizane maswali mengi.

7c7a8__WEMA1
She kissed a girl and she liked it
Wanapendana kiasi cha kupigana busu kama wapenzi? Au ndio yale mambo wanayofanya wasichana wa mjini siku hizi? Unadhani Diamond atapenda picha hizi?

wema-instagram
PhotoGrid_1403415825178

No comments: