Baada ya couple za Wiz Khalifa na Amber Rose na Tyga na Blac Chyna kuvunjika, sasa single ladies Amber Rose na Blac Chyna wamekuwa mashosti.
Blac Chyna na Amber Rose
Warembo hao wana mambo kadhaa yanayofanana,
1.kubwa la kwanza ni kuwa wote sasa wako single baada ya kuachana na mume/mchumba
2.wote walikuwa strippers kipindi cha nyuma
3.wote wapenzi walioachana nao ni rappers,
4.na wote wana watoto wa kiume King Cairo Stevenson wa BC na Sebastian Taylor Thomaz wa AR .
2.wote walikuwa strippers kipindi cha nyuma
3.wote wapenzi walioachana nao ni rappers,
4.na wote wana watoto wa kiume King Cairo Stevenson wa BC na Sebastian Taylor Thomaz wa AR .
Wawili hao wameonekana karibu siku za karibuni waki hangout pamoja maeneo mbalimbali.
No comments:
Post a Comment