Thursday, November 6, 2014

Ummemiss Ray C? Hii ni habari njema kwako

Kama umeimiss sauti ya Rehema Chalamila aka Ray C, hii inaweza kuwa habari njema kwako.
ray-c (1)

mbalimbali mtaweza…..Kwa mashabiki wangu wa ndani na nje ya nchi mlichokuwa mkisubiri tayari kishamalizwa!!!!Kazi kwenu………Stay Tuned for more info……Love u guys…mmmmwaaaaah!i miss my beautiful voice too……I jst can’t wait to sing live for u guys!)

No comments: